Watanzania kwa ujumla wetu Leo tunasherehekea miaka 58 ya Muungano huku tukilamba Asali ya Elimu bure, matibabu Bure (kwa watoto na wazee) pia fursa kufunguliwa za kibiashara duniani - US, UAE, EU, Malawi, Kenya, Uganda, Rwanda, Botswana, Russia na Burundi.