Prince Tumbo
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 910
- 247
Amani iwe kwenu, fikiri maswali haya nawewe uanze kutafakari upya juu ya kuuboresha muungano wetu...
1. Iwapo tofasiri ya muungano ni kuungana kwa serikali 2 zenye mamlaka, ni kwa malengo yapi serikali ya zanzibar iliendelea kuwepo na Tanganyika kufutika kabisa katika historia yetu?.....
2. Iwapo muungano unaundda katiba ya muungano,ni kwa malengo yapi zanzibar iendelee na katiba yake na Tanganyika kuiweka na kuficha maktaba katiba yake ambayo hata mimi siijuwi hata ilikuwa na vipengere vingapi?...
3 ni kwa malengo yapi mkataba wa muungano hauwekwi wazi kwa ajiri ya mijadaala mbalimbali?...
4 Kama wazanzibar hawataki muungano kwa kipindi kirefu sasa, kwa nini watanganyika tunalazimisha?...
5 ni kwa sababu zipi watawala wako tayari mtu kumwita mhaini anaposema ukweli juu ya Tanganyika kutambuliwa kama nchi na mamlaka yake?...
SASA NI MUDA WA SERIKALI TATU AU MOJA KAMA TUNA NIA NJEMA....
Tafakari....