Muungano utakuepo kizazi kijacho?

Muungano utakuepo kizazi kijacho?

Ghkman Bomba

Member
Joined
Mar 19, 2014
Posts
6
Reaction score
1
Kutokana na mjadala uliopo kuhusu rasimu ya katiba mpya kumekuepo na migongano ya kimawazo kutoka katika kada mbalimbali zikijadili muundo wa serikali wengine wakisema tatu,mbili,moja na wengine ya mkataba. Ninacho jiuliza wengi wanaodai serikali tatu walikuepo wakati muungano unaasisiwa na wengine tumezaliwa na kuikuta TANZANIA ikiwepo tunapata somo gani kwa hawa wanaojiita waasisi wa muungano?kizazi chetu kimesha ona dalili za homa ya muungano kuto kuwepo.Je kizazi kijacho kitarajie nini?
 
Kulikuwa na USSR ambayo ilidumu kwa zaidi ya miaka 70, wakati ukafika, USSR ikasambaratika. Yugoslavia nayo ilidumu for almost 70 years plus, nayo ikasambaratika vipande vipande! Hakuna tena duniani nchi iitwayo Czechoslovakia ambayo ilikuwapo kwa miaka kadhaa, na badala yake tunazo Czech and Slovak! Scotland nayo hivi sasa inazungumzia kuachana na UK...hatukua na kitu kinachoitwa South Sudan; hivi sasa Crimea nayo ni mtihani mwingine wa dunia! Mifano ni mingi, yote hiyo ikisema jambo moja tu; IT'S JUST A MATTER OF TIME....Sooner or later, Tanzania nayo inaweza kufuta mkondo ule ule; we're not exceptional! Na ndio maana akina sie, ambao hatupo TOO OPTIMISTIC, linapokuja suala la mfumo gani wa muungano; tunapendekeza kwamba mfumo bora ni ule utakaotuwezesha kuachana kwa amani pale itakapotokea kwamba tumeachana, iwe leo au miaka mia moja ijayo! Mfumo ambao hautatoa room kwa ugomvi wa madaraka! Machafuko ambayo yalitokea Ulaya Mashariki in early 1990's toward 2000's yalisababishwa sana na uvunjikaji wa "miungano" wa nchi zao! Na ndio maana sie ambao sio TOO OPTIMISTIC, tunapendekeza kwamba, katiba zote, ya Tanzania, Zanzibar and probably ya Tanganyika, ziseme wazi kwamba inapotokea muungano umevunjika, basi (say) Residence Minister wa Bara atakuwa ndie Mkuu wa Nchi ya Tanganyika katika kipindi cha mpito kisichozidi miaka X! Hii iwemo kwenye katiba ya JMT na iwe quoted vilevile kwenye katiba ya Tanganyika!

Anyway, it's a matter of time!
 
Kutokana na mjadala uliopo kuhusu rasimu ya katiba mpya kumekuepo na migongano ya kimawazo kutoka katika kada mbalimbali zikijadili muundo wa serikali wengine wakisema tatu,mbili,moja nap wengine ya mkataba. Ninacho jiuliza wengi wanaodai serikali tatu walikuepo wakati muungano unaasisiwa na wengine tumezaliwa na kuikuta TANZANIA ikiwepo tunapata somo gani kwa hawa wanaojiita waasisi wa muungano?kizazi chetu kimesha ona dalili za homa ya muungano kuto kuwepo.Je kizazi kijacho kitarajie nini?
Kutokana na kauli ya nyerere kuwa kama Wazanzibari wataidai nchi yao yeye hatawapiga mabomu na Karume naye "muungano ni kama koti likikubana livue" basi tunajua kuwa huu muungano hawakuudizaini udumu milele.
 
Tutarajie tanganyika tu!wajukuu wako utakuja kuwapa historia ya tanzania ka wewe unavyopewa ya tanganyika kwa sasa hv
 
Back
Top Bottom