Uchaguzi 2020 Muungano wa CHADEMA na ACT, utaifaidisha zaidi ACT-Wazalendo

Umejaribu kutowa tathmini nzuri.
Lakini hoja ya msingi hapa ni kuiondoa CCM na si nani awe nani.
Ikiwa hili tuko pamoja ,naamini Zito amejifunza kitu 2015 baada ya kufanya makosa kumsimamisha Ana Mgwira
ambaye ni CCM pandikizi aliyeletwa kumpiga jeki ili kuidhoofisha chadema.
Hata hivyo, Tunaweza kuwa duwaza CCm kama tutawacha ubinafsi na kuangalia maslahi mapana ya Taifa
Upinzani imara utajengwa na vyama imara visivyojiona vyenyewe kuwa ni wakubwa kuliko Tanzania.
Tuanzie hapo,Zito kasalim amri,bila ya kujali nani atafaidika.
Chadema Imo kwenye Hali ya kudundwa mno na CCm ,inahitaji sana Ushirika na wenzake ili kupunguza Minyuko ya CCM.
Lets work together ccm tutaitowa kwa umoja wetu, Mizozo baadae.
 
Juhudi za wagawanye uwatawale zinaendelea. Wapumbavu ndio wataingia mtego huu.

Hata 2015 bila ya kina Lipumba na Slaa kuuingia mtego huo jiwe asingetoboa.

Umoja ni nguvu. Ya Malawi yako wazi.

Hata pale Uganda kwa umoja unaoukia m7 akae mkaombwa wa kuliwa.
 
Juhudi za wagawanye uwatawale zinaendelea. Wapumbavu ndio wataingia mtego huu.
Usiite watu wapumbavu kwa kuwa na mawazo mbadala na wewe, yeye ndio anachokiamini unachotakiwa kufanya ni kumweleza mbadala wa hoja yake.

Hata mimi na imani Membe akienda upinzani basi asigombee Urais awe mwanachama wa kawaida.
 
Kwenye siasa hakuna adui wa milele na rafiki wa kudumu,kila kitu kinategemea ni muda upi na muktadha upi
 
We jamaa unafikiri chadema inaubavu wa kuikabili ccm bila ya kuungana?, unajidanganya sana. achana na chuki na ubinafsi. Tumia mbinu zozote kuikabili ccm, watakaofaidika ni wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…