Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Ni vigumu kujadiliwa hoja ya muungano kwa sababu wabunge wa zanzibar ni 60 tu wakti wabunge wa tanganyika 300,tunazidiwa nguvu,na watanganyika always wanatetea maslahi yao kwa kutukandamiza wazanzibari.Jamani kama kweli Muungano hamuutaki kwa nini wabunge wenu (CUF) hawapeleki hoja bungeni za kuvunja Muungano?? Msitudanganye ninyi...tunajua katika Muungano ninyi ndo wafaidika wakubwa!!
GHIBUU na wenzio mnajua fika kuwa kwa wabara, suala la muungano kwa wabara ni kama jipu la makalioni.Kila ukikaa linatonesha , mnajua la kufanya na msizingue watu.Ni vigumu kujadiliwa hoja ya muungano kwa sababu wabunge wa zanzibar ni 60 tu wakti wabunge wa tanganyika 300,tunazidiwa nguvu,na watanganyika always wanatetea maslahi yao kwa kutukandamiza wazanzibari.
Huko mzalendo.net siendi na wala sitaenda kamwe nilishaenda mara 1 nikakuta maneno chuki tupu dhidi ya wabara, kama ni kuvunja muungano fanyeni fasta walau tupone
Usijali wangu ingia hapa usifike huko,nakuekea bila ya kufika mzalendo.Huko mzalendo.net siendi na wala sitaenda kamwe nilishaenda mara 1 nikakuta maneno ya chuki tupu dhidi ya WATANGANYIKA, kama ni kuvunja muungano fanyeni fasta walau tupone
Usijali wangu ingia hapa usifike huko,nakuekea bila ya kufika mzalendo.
Nashukuru kwa uungwana wako mkuu
Wewe kweli umesoma,unajua hpa katika huu mtandao kuna watu ni wafuasi wa chama tu,lakini kiukweli hawajui maana ya uwongozi,hawajuui maana ya nchi,hawajui maana ya maslahi,siku zote comments zao kuwa wazanzbari tutawafukuza,hamutakula maana sie ndio wenywe nyakula,hawana sababu za msingi.naangalia hizi video hawa jamaa wanajua kuargue, ukweli ni kuwa muungano ni wakihuni na unafaidisha wachache tuu.
Nakupa tatizo ambalo wazanzbari imefikia kuwakashifu na kuwafikiria vibaya na kuelewana vibaya,unajua zanzibar toka uje mfumo wamuungano kuna dhambi kubwa sana zimefanyika zanzibar,watu wamekufa,wamezalilishwa,wamebakwa,wengine wameambukizwa ukimwi kwa kubakwa watoto wadogo,yote ni muungano.Umeona mkuu, hawa jamaa kila siku wanakuja na maneno ya kashfa wakati wao wana serikali huru... wapelekeni mswaada wa kukataa muungano kwenye baraza lenu, muupitishe na muue huu muungano hamlazimishwi kuendelea kuwa na tanzania...:bored:
Nakupa tatizo ambalo wazanzbari imefikia kuwakashifu na kuwafikiria vibaya na kuelewana vibaya,unajua zanzibar toka uje mfumo wamuungano kuna dhambi kubwa sana zimefanyika zanzibar,watu wamekufa,wamezalilishwa,wamebakwa,wengine wameambukizwa ukimwi kwa kubakwa watoto wadogo,yote ni muungano.
Zanzibar jeshi liliopo pale ni la muungano,hakuna hata mzanzibari mmoja pale,wazanzbari wakiajiriwa jeshi wanapelekwa mikoani,hivi nikuulize wewe kama ungelikuwa mzanzbari anakuja mtu kutoka huko bara arusha au morogoro na yeye mwanajeshi anakuja kubaka mama yako mbele yako au baba yako au kaka yako analaitiwa,au ndugu yako utafeeel vipi ? Utajisikiajee ?
Inauma sana sana,ndo maana wazanzbari hawautaki muungano hata uwe wa misingi gani,wameshatosheka na mazima na dhambi walizofanyiwa,kwa hiyo ndio tunakuta viongozi wetu wametujea chuki kati yetu,wao wanakula raha sie tunakashifiana.
Hayo ndo muhtasar nakuekea video uwone kidogo tu wazanzbari wanavyoteshwa na muungano.
http://www.youtube.com/watch?v=8vTs4Ue2cPs
NGALIA DAMU KATIKA floor
Na nyengine hiii
YouTube - Tanzania Police Brutality: Zanzibar Nov 2005 (Part 2)
Jee kama ni wewe nchi yako utakubali ? Utakubali atoke mkenya huko aje akunyanyase wewe ndani ya nchi yake ? AU aje mburundii ?
HAKIKA wazanzibari ni haki yao kupigania nchi yao kupata uhuru.
Nani kawabaka? Tatizo mnalalamika sana,c mpeleke hoja binafsi kwenye baraza la wawakilishi mvunje muungano..au mnaogopa kuacha mali zenu huku Tanganyika.
Fungua kongamano hili,wananchi wa zanzibar wakiwa na munkari na mchecheto wa kutaka kuuvunja muungano,wamechoshwa na muungano,hasara nyingi zaidi kuliko faida.
FUNGUA HAPA Video:Muungano ni kero twachelea ni ukoloni mweusi! | MZALENDO.NET