Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Waislam wa Zanzibar wanatuangusha!let them go peacefully......
Sisi tunataka jamhuri huru ya watu wa TanganyikaTunaitaka Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Zanzibar
Tunaitaka Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Zanzibar
Nimefatilia sana mijadala ya Wa znz ya kuukataa Muungano...nikagundua kuwa asilimia 99 ya wa Tanganyika wanataka
Muungano, Kwa sababu kuu zifuatazo kutokana na majibu ya Watanganyika...
1-Mkivunja Muungano tutawafukuza waznz wote bara.
2-Mkivunja Muungano mtapata shida sana (inakuhusu nini?)
3-Mkivunja Muungano hamtakuwa na Amani.
Naomba Watanganyika wenzangu vilaza tusitoe vitisho kwa Wa znz ili kuwavunja moyo jitihada
zao za kutaka nchi yao.....unaogopa nini wa znz wakijiondoa ktk Muungano??
mi sioni umuhimu wa muungano hakuna kinachoongezeka au kupungua muungano ukiwepo au usipokuwepo. kama wanataika kujitoa wajitoe tu... sioni mchango wao kwanza
Ni kweli kabisa unayosema...hata mm siutaki huu Muungano...
Lakini fatilia mijadala ya hapa Jf utaona hivo vitisho nilivyotaja......hapo ndio napata wasiwasi
kama kweli Watanganyika hawautaki Muungano !!
Tunaitaka Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Zanzibar
Sam,
Unajua Wamarekani walivamia Hawaii, wakamwua mfalme wake, wakaiburuza katika USA, mambo kwisha. Hakuna hata siku moja unasikia Hawaii wanapiga kelele hiki au kile. Mwalimu alikuwa mwuungana sana. Angekuwa Nkrumah, Zanzibar hivi sasa ingekuwa mkoa tu. Hakuna kelele. Chagueni gavana wenu, mbunge wenu lakini katika Federal govenment kura yenu inalingana na idadi ya watu wenu. We should have done the same.
Hakuna cha mkataba, tutawazidi kwa wingi wa kura, its not for them to decide about this,Zanzibar needs to change its approach to Muungano or else they will continue to seat on the complaining side forever, better they come back we discuss how to sort our problems together, diseases,anger,education,shelter,water supply,electricity and their mother ccm etc.
Who is telling zanzibar that they will become better out of Muungano, stupid. is the Congo in Tanzanian Muungano?Chad? Guinea, Burma,Somalia, do not they have these same problems?