Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

Mgao gani kwa mfano
 
Haina shida hata kwenye kulipa iwe 50/50..
Hata sheria ya Mzanzibar kumiliki ardhi Bara iwe sawa na Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar.

Kama hela TBL mnapokea basi na kiwanda kingine cha TBL kijengwe huko.
Unaakili sana wewe
 
Unashangaa nyambizi zinaibukia tu hapo magogoni na silaha nzito nzito au watu wanaibuka na mijegejo hapo bichi maarufu wakiwa na mashua kama wavuvi wa kawaida
Unaongea nini. Cheki wikileaks CIA wamewahi kuweka nyambizi hapo Magogoni ikawa inasikiliza mazungumzo ya Ikulu wakati wanamtafuta Che Guevara.
 
Unaongea nini. Cheki wikileaks CIA wamewahi kuweka nyambizi hapo Magogoni ikawa inasikiliza mazungumzo ya Ikulu wakati wanamtafuta Che Guevara.
Najaribu kumwelewesha jamaa kuwa mipaka ya majini ni vulnerable zaidi ya ile ya ardhini na ulicho andika wewe kina prove hilo
 
Mlilazimishwa kuiacha Tanganyika?
 
Na baya zaidi ikitokezea kunatakiwa msaada wa kupeleka jeshi kusaidia vita kama kule Kongo basi huwachagua wanajeshi wa Kizanzibari kuwapeleka vitani ili kama ni kufa wafe wazanzibari, majeshi ya Tanganyika hutumiwa kwa shughuli za uchaguzi tu kuua wapemba na Wazanzibari.
 
Kwa idadi yao uchumi wao ni mkubwa!
Zanzibar hauna uwezo wa kulipa madeni makubwa makubwa..uchumi wake ni mdogo Sana. Znz inategemeana zaidi utalii tuu kama njia ya kukusanya mapato
 
Zanzibar hauna uwezo wa kulipa madeni makubwa makubwa..uchumi wake ni mdogo Sana. Znz inategemeana zaidi utalii tuu kama njia ya kukusanya mapato
Na wala hawakopi madeni makubwa.
 
Unashangaa nyambizi zinaibukia tu hapo magogoni na silaha nzito nzito au watu wanaibuka na mijegejo hapo bichi maarufu wakiwa na mashua kama wavuvi wa kawaida
Na kwa nini wasiibuke kutoka Msumbiji ,Kenya, ,Uganda nk ambako unavuka mbuga kama mfugaji au mmasai?
 
Na kwa nini wasiibuke kutoka Msumbiji ,Kenya, ,Uganda nk ambako unavuka mbuga kama mfugaji au mmasai?
Unajua watanzania qanapo ona mgeni kaingia kijijini lazima waulizane na balozi atajulishwa!!! Huko ni ngumu ila ufukweni balozi gaji yupo? Pale unajichanganya bichi na wadau kana kwamba umeenda kubalizi kumbe una lengo lako
 
Zanzibar hauna uwezo wa kulipa madeni makubwa makubwa..uchumi wake ni mdogo Sana. Znz inategemeana zaidi utalii tuu kama njia ya kukusanya mapato
Hizo fedha zinazoingizwa Airport Tu sijui zinaendea wapi. Fly Dubai asubuhi Na jioni ndege full, Oman air hivyo hivyo , Qatar , Ethiopia, Air France, KLM, Lufthansa mbali ndege Za Israel, Urusi, Ukraina nk zote zimejaa. Viza dola 50 . Yaani viza Tu haipungui dola 100000 kwa siku minimum. Hujaenda matumizi ya Hao watu. Bandarini . Mapesa yote wanalipwa majeshi Polisi usalama kulinda watawala kubakia madarakani basi
 
Unajua watanzania qanapo ona mgeni kaingia kijijini lazima waulizane na balozi atajulishwa!!! Huko ni ngumu ila ufukweni balozi gaji yupo? Pale unajichanganya bichi na wadau kana kwamba umeenda kubalizi kumbe una lengo lako
Wameingia Na wanaingia mpaka Leo wakongo , warundi Na Hakuna mwanakijiji wala mwana mji. Mkipewa pesa kidogo Tu unanyamaza
 
Dhahiri kabisa.50/50!
Na hata kugawana Madeni iwe.50/50!
Na hata Tukiadhibiwa bakora.50/50!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…