KUHULIZA = KUULIZAHivi ndugu zangu hivi huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar upoje huu mimi ua sielewi chochote kuhusu huu Muungano...
Mkuu, mwambie akajifunze kiswahili kwanza ndo aje aulize hayo maswali. Kama hata lugha yenyewe inampiga chenga, hizo hoja zetu atazielewaje kweli?KUHULIZA = KUULIZA
INCH = NCHI
Mkuu ni vema kujibu hoja aliyo leta kuliko kujifanya mjuaji wa lugha maana hoja isha eleweka cha kushangazaa umeacha kujibu hoja na kumshambulia yeye binafsi hii sio tabia ya GT.Mkuu, mwambie akajifunze kiswahili kwanza ndo aje aulize hayo maswali. Kama hata lugha yenyewe inampiga chenga, hizo hoja zetu atazielewaje kweli?