Muungano wa Tanzania uko katika hatua ya kwanza kuelekea kuvunjwa


Nakuuliza kitu kimoja, naomba nijibu kwa ufasaha na usipingane na maandiko yenu:

Gospel (injili) ya Marko kaandika nani?
 
Nakuuliza kitu kimoja, naomba nijibu kwa ufasaha na usipingane na maandiko yenu:

Gospel (injili) ya Marko kaandika nani?

unaniuliza mwandishi wa enjili ya marco jibu lake ni sawa na swali hili je biblia katika kitabu cha Amos 9:7.alikuwa anamaanisha nini?
 
Kuna Mambo mengi yakujadili ili kutatua matatizo yaliyomo ndani ya Muungano,kisha muongeze hizo serikali zenu.
 
Jibu swali, kama hujui sema sijui.

hoja yangu ya msingi kama umeelewa tayari nimekupa jibu kwa akili yako hujarusu kupokea kitu kipya ungeniuliza kwa nini nimekupa mstari sasa nikuulize kwa nini umeniulza swali hilo wakati unajua hoja yangu na msingi unajua ndio maana nilikupa mstari huo ukausome vinginevyo uniambia jibu nani aliandika na ulikuwa na maana gani?
 
alshabab watahamia zanzibar,

kwanza zanzibar wangepiga kura kama crimea
 
alshabab watahamia zanzibar,

kwanza zanzibar wangepiga kura kama crimea

Hio ni wishfull thinking..ukweli zanzibar ndio inayofunika kombe mwanahamu apite.
Bila ya znz ndani ya muungano mcharuko wa dini tanganyika ni mkubwa mno tena sana kuliko sehemu yoyoye duniani.
Msuguano ni mkubwa na uwiano ni wa mbali sana kati ya wakristo na waislam.
Hili ni kwa wenye kuona mbali ndio maana muungano ni muhimu sana kwa tanganyika.
Sasa sii tanganyika kutakua na alshabab tu bali kina koni na kama wale wa afrika ya kati wanaokula nyama za waislam watajitikeza.
Usiseme usolijua.... hata hao bakwata watabadilika....
 

wewe unaongea hayo ni kwa sababu uko kwenye muungano nje ya muungano ninyi mna matatizo sana kuna nchi ya zanzibar itaanza kudai uhuru ambapo unguja itapiga kura ya maoni kuungana na tanganyika.
 
Nadhani wiki nzima tumeshuhudia mjadala wa katiba mpya unaoendelea dodoma huu ni mwanzo wa mwisho wa muungano
 
Leo Tarehe 26 April, 2020 ni sikukuu ya Muungano, sikukuu hii ndio sikukuu muhimu kuliko hata uhuru kwasababu hii ni siku JMT ilipozaliwa. Lakini kutokana na janga hili la Corona, siku hii inaadhimishwa kimya kimya.
Naawatakia Muungano mwema huku nikisisitiza
Nautakia huu muungano wetu adhimu udumu milele na hivyo kukitokea yoyote anayetaka kuuchokoa muungano, namshauri chokochoko amchokoe pweza, muungano hutauweza kwasababu tutaulinda kwa gharama yoyote.
Nawatakia muungano mwema.
P
 
Corona ndiyo huyo kasimamisha kuusherehekea.

Hana adabu kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…