Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Leo Tarehe 26 April, 2020 ni sikukuu ya Muungano, sikukuu hii ndio sikukuu muhimu kuliko hata uhuru kwasababu hii ni siku JMT ilipozaliwa. Lakini kutokana na janga hili la Corona, siku hii inaadhimishwa kimya kimya.
Uvunjike tu
Tuwe na serikali tatu vinginevyo uvunjike tuUvunjike tu
VizuriHUU SI MUUNGANO NI UVAMIZI ULIOPEWA JINA LA MUUNGANO.
Hakuna muungano bali kilichopo ni occupation