Muungano wa Tanzania

kinjekitile70

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
1,072
Reaction score
1,424
Habari zenyuu wakuu
Matumaini yangu mko wazima wa afyaa
Tukiwa tunasubiri uzinduzi wa kiwanda kingine

Moja kwa moja kwenye mada:Leo katika kusikiliza idhaa ya kiswahil Dw, (Dunia yetu leo mchana ) wakiwa wanaongelea influence ya Western katika uharibifu wa amani ya Yemen, Kuna mchambuzi mmoja kutoka Tanzania, aliongelea kuwa Marekani na Ulaya waliplay part kubwa sana katika kuunganisha Tanganyika na Zanzibar, ili kuzuia influence ya Soviet society, na umoja wa karibu ku dominate Zanzibar.

Tukirudi katika historia yetu ya vitabu tunaambiwa kuwa Baba wa Taifa Mwl, Jk Nyerere na mzee Karume ili kudumisha mshikamano, miongoni mwa wananchi

Naomba wajuzi wa mambo mnijuze kuhusu Hili, huenda Kuna ukweli umejificha katika Hili.

Ahasanteni,

Huku tukisubiri waraka wa BAKWATA, kama watamfungulia BARABA au YESU.
 
hilo suala nakubaliana nalo, ingawa sielewi kwanini nchi za western ziwe na influence kuliko Soviet
 
Leo Tarehe 26 April, 2020 ni sikukuu ya Muungano, sikukuu hii ndio sikukuu muhimu kuliko hata uhuru kwasababu hii ni siku JMT ilipozaliwa. Lakini kutokana na janga hili la Corona, siku hii inaadhimishwa kimya kimya.

Naawatakia Muungano mwema huku nikisisitiza

Nautakia huu muungano wetu adhimu udumu milele na hivyo kukitokea yoyote anayetaka kuuchokoa muungano, namshauri chokochoko amchokoe pweza, muungano hutauweza kwasababu tutaulinda kwa gharama yoyote.
Nawatakia muungano mwema.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…