mzanganyika
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 257
- 6
Zile harakati za kuwa na Muungano ama ushirikiano wa vyama vya siasa katika chguzi umekwama wapi?
Wapinzani walivyoanza kuzungumzia swala hili nilikuwa na matumaini makubwa sana kwamba sasa tutakuwa na ushindani wa kweli wa siasa.
Nikiwa kama Independent nilifarajika, sasa sisikii lolote. What happened?
Nafikiri sababu kubwa ni hii posho/ruzuku. Chama kinachokuwa na wabunge wengi ndicho kinachopata ruzuku nono. Kwa hivi vyama havina njia nyingine ya mapato ya kukidhi, kila chama kinawania kupata wawakilishi/wabunge wengi iwezekanavyo. Wanachama michango yao ni ya kusuasua. Mara nyingi hawatoi kabisa. Wanakuwa washabiki tu. Sasa hivi vyama vitajiendeshaje? Kwa hiyo lawama si ya vyama peke yake. Halafu na njaa na uchu wa madaraka vinachangia navyo.
...what a fuckken suggestion!!!zile harakati za kuwa na muungano ama ushirikiano wa vyama vya siasa katika chguzi umekwama wapi?
Wapinzani walivyoanza kuzungumzia swala hili nilikuwa na matumaini makubwa sana kwamba sasa tutakuwa na ushindani wa kweli wa siasa.
Nikiwa kama independent nilifarajika, sasa sisikii lolote. What happened?
...what a fuckken suggestion!!!
Kumbe upinzani ukiishinda CCM ni hatari kwa Usalama wa Taifa?Usalama wa taifa ndani ya kambi ya upinzani,khalas!
Sasa unadhani hii mijizi yote itakimbilia wapi na mali zao...?Kumbe upinzani ukiishinda CCM ni hatari kwa Usalama wa Taifa?