Juliana Shonza
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,009
- 1,607
Wakati mwingine sarakasi za siasa za upinzani zinadhihirisha jinsi hawa jamaa walivyopoteza mwelekeo. Kuna jambo nimelisikia, ni kikundi cha kujadiliana ama discussion group imeundwa Dodoma inaitwa UKAWA. Nilivyoisikia kwa mara ya kwanza haikunipa shida kwani niliamini kama ilivyo discussion group nyingine lengo ni kufikia common conclusion kwa wapinzani ndani ya bunge hilo maalum la katiba.
Ajabu ni hii habati mpya kuwa katibu mkuu wa chadema ametangaza kuwa sasa chadema imeungana na cuf na nccr na wapinzani wengine na muungano huo ndio umeanza kwa jina la UKAWA.
Muungano??? Muungano wa aina gani, muungano katika lipi..? Kama muungano wenye tafsir ya muungano unapaswa kuwa wa kikatiba na kikanuni, muungano ambao unatoa mwelekeo wa terms za muungano huo. Lakini hilo ni jambo moja ziada ni aina ya muungano huo wa upinzani..? Utakuwa muungano wenye sura ipi..? Lakini hayo tisa kumi ni muungano wenye motive ipi..? Kwanini uwepo sasa na haukuwepo kabla.
Hivi nikiuliza swali la kawaida tu, wanaungana vipi wakati jmgombea wa CUF chalinze amemiwekea pingamizi mgombea wa chadema..? Wanaungana kuiong'oa CCM..? Mbona hatuoni ukweli wa nia hiyo mpya..?
Lakini nataka kujua UKAWA Huu ni katika muundo wa serikali tu..kwamba ukawa ni muungano wa vyama vinavyotaka serikali tatu?