Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
Wadau MUUNGANO wetu ni Wa Nchi 2 Tanganyika na Zanzibar. Matokeo ya MUUNGANO huu yakaizaa Nchi ya TANZANIA. Jambo la AJABU NCHI ya ZANZIBAR imeendelea kuwepo licha ya kuungana na Tanganyika lakini Nchi ya TANGANYIKA HAIPO
Swali
Kwanini Tanganyika ilipotea Bali Zanzibar ipo?
Kama Serikali ya Zanzibar Ipo na ina Bendera na Rais wake kwanini Serikali ya Tanganyika nayo isiwepo na Bendera na RAIS wake? Halafu kukawa na Serikali ya MUUNGANO ikaitwa TANZANIA?
Busara ni kwamba MUUNGANO wa Nchi 2 UNGEZAA NCHI MOJA ambayo ni TANZANIA au UNGEZAA NCHI 3 ambazo ni TANZANIA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
MUUNGANO uliopo ni wa Nchi 2 Umeua NCHI ya Tanganyika na Kuibakiza Nchi ya Zanzibar nafasi ya NCHI ya TANGANYIKA ndiyo inaitwa TANZANIA Huo SIO Muungano tena bali ni KUBADILISHA JINA kutoka TANGANYIKA kuwa TANZANIA.
= > Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni sawa na Muungano wa Siria na Ejibti walioungana 1958
= > Waliohoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wafikia hatua gani?
= > Yajue mambo 22 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
= > Tanganyika ni lazima iendelee kuungana na Zanzibar?
= > Tuna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tu, siyo Tanzania
Swali
Kwanini Tanganyika ilipotea Bali Zanzibar ipo?
Kama Serikali ya Zanzibar Ipo na ina Bendera na Rais wake kwanini Serikali ya Tanganyika nayo isiwepo na Bendera na RAIS wake? Halafu kukawa na Serikali ya MUUNGANO ikaitwa TANZANIA?
Busara ni kwamba MUUNGANO wa Nchi 2 UNGEZAA NCHI MOJA ambayo ni TANZANIA au UNGEZAA NCHI 3 ambazo ni TANZANIA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
MUUNGANO uliopo ni wa Nchi 2 Umeua NCHI ya Tanganyika na Kuibakiza Nchi ya Zanzibar nafasi ya NCHI ya TANGANYIKA ndiyo inaitwa TANZANIA Huo SIO Muungano tena bali ni KUBADILISHA JINA kutoka TANGANYIKA kuwa TANZANIA.
ZAIDI UNASHAURIWA KUSOMA MADA HIZI:
= > Lipo wapi tatizo kwenye muungano wa Tanganyika na Zanzibar? Tafakari!= > Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni sawa na Muungano wa Siria na Ejibti walioungana 1958