Muungano

Muungano

Sauti ya Mamlaka

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,601
Reaction score
2,354
Naomba kufahamu muundo wa muungano wetu na mambo yapi ni ya muungano na yapi si ya muungano kwa sababu naona wakt mwngne zanzibar wanatoa updates za wagonjwa wa corona wkt hku bara tupo kimya wkt ni nchi moja ya jamhuri ya muungano wa Tanzania....... Msaada tafadhali....... Natanguliza shukrani

Its not over until its over...[emoji769]
 
Back
Top Bottom