Muuza CD alivyonikosesha tunda!

Ndugu hiyohiyo Nikita nilishaganunua ikagoma epsod ya sita tu zilizobaki zote zikagoma watu wanafikiri hizi mambo hakuna!.
 
Unataka wanaoangalia Documentary? Sawa ila ni sisi ndio tuko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Aah wap kuna uzi mmoja hiv ulijichanganyaga hapa jukwaan ndipo nikajua age yako.Kwakwel hata kama umepita 26 ila 28 huna!!!
Acha masimango mkuu mi ni mastaa..πŸ˜‚
 
Ukikutana na wanaouza cd una angalia unayoitaka unakalili jina unaenda kudownload mwenyewe hii ndio njia ya kuzijua.
Anza na the Witcher na the wheel of time
Ahsante mkuu
 
Nenda nkiri.com zimejaa kibao kwa mb chache tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…