Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi sanaWajeda na makomandoo tarehe 23 walivaa kipolisi.
Ni yeye mkuuHuyo sio yeye
That is your assumption.Hahahaha ni ngumu sana kutoka kule (nadhani nimeeleweka) hadi huko tena kwa ishu ndogo kama hiyo.
Kwasababu hata ile hakuwa yeye lile jando na vitu kama hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.
PAIN IS MY MEDICINE.
Ni yeyeeeeHuyo sio yeye
Kuna picha ningekuwekea ila siyo sehemu sahihi kabisa kufanya hivyo then ungenielewa. Sijasema haiwezekani ila kuna ishu na ishu.That is your assumption.
Itume PM.Kuna picha ningekuwekea ila siyo sehemu sahihi kabisa kufanya hivyo then ungenielewa. Sijasema haiwezekani ila kuna ishu na ishu.
Wanamu expose sana mpaka imekuwa kawaida sasaWajeda na makomandoo tarehe 23 walivaa kipolisi.