Muuzaji hana hamu

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
```Mdada alienda super-market kununua kuku, bahati mbaya kwenye frij kulikuwa na kuku mmoja tu, muuzaji akamtoa akamuweka kwenye mzani, akaonekana ana kilo moja na robo.

Mdada akamuuliza muuzaji,’Huna mkubwa zaidi?’ Muuzaji akamchukua yule kuku na kujifanya kamrudisha kwenye friji, halafu akamtoa tena kwenye friji na kumrudisha kwenye mzani, safari hii akagandamiza mzani kwa gumba, kuku akaonekana ana kilo mbili.

Mdada akasema ‘Duh afadhali huyu mkubwa kidogo, naomba unifungie nawachukua wote wawili’```

*Ungekuwa Muuzaji Ungefanyeje??*
 


Mbuzi kafia kwa muuza supu@
 
"Hatuuzi chini ya Kuku wa kilo mbili "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jibu la muuzaji
 
Kila mteja anatakiwa kununua kuku mmoja tu. Mana kuku wamekuwa adimu so serikali ndiyo ina monitor ununuzi wake ili kila raia apate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…