mm piah nawish kufanta hyo biashara but i don know niwe na mtaji wa kiasi gan ili niweze kuanza kama kianzio_-___Wakuu habari,
Naomba kufahamu au kama kuna mtu anahusika na biashara ya viungo(spices) bei za jumla kwa dar au mikoani.
viungo vinavyo takiwa ni; corriander(giligiliani), black pepper(pilipili manga), cardamon(iliki),nutmeg(kungumanga) cinamon(mdalasini) garic (vitunguu swaum) n.k
Ikiwezekana nipate wasailiano yake, natanguliza shukurani.