magai majigo
Member
- Sep 19, 2016
- 76
- 27
Kasoma kozi gani?Je, kwa yule ambae hajapitia Mafunzo ya Addo,
Na mdogo wangu hapa lakini hajapitia hiyo course
Nurse AssistanceKasoma kozi gani?
Anaweza kufanya kazi, kazi elekezi pia ni muhimuNurse Assistance
Msaidie akapewe mafunzo addo. Bila hicho cheti atakamatwa na watu wa TFDA Duka linafungwaJe, kwa yule ambae hajapitia Mafunzo ya Addo,
Na mdogo wangu hapa lakini hajapitia hiyo course
Ok mkuu ndio nipo kwenye huo mpango nitafanya hivyoMsaidie akapewe mafunzo addo. Bila hicho cheti atakamatwa na watu wa TFDA Duka linafungwa