Muuzaji wa pikipiki

Muuzaji wa pikipiki

Siri yangu

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2023
Posts
1,426
Reaction score
2,845
Kama mada tajwa hapo juu ilivyo
Kama kuna muuzaji wa pikipiki hizi za kichina anitajie orodha ya aina ya pikipiki alizonazo awake na bei nikielewa nitamfuata mwenyewe pm
 
Kwanza unataka brand new? Na uko wapi?

Kila pikipiki ina maeneo yake, mfano kama Mkoa wa Ruvuma bila Haeoju hutoboi kuna milima hatari.

Nimekusaidia tu Abcd unapohitaji kitu express youself.
 
Tvs au Haeojue
 
Back
Top Bottom