Achimwene2014 Senior Member Joined Jul 15, 2017 Posts 119 Reaction score 124 Oct 29, 2024 #1 Wakuu kuna dada mmoja anajihusisha na uuzaji wa simu za Infinix ila simkumbuki na uzi wake sijaupata humu jf. Hivyo kama bado anaendelea na huduma hii naomba tuwasiliane. Nawasilisha.
Wakuu kuna dada mmoja anajihusisha na uuzaji wa simu za Infinix ila simkumbuki na uzi wake sijaupata humu jf. Hivyo kama bado anaendelea na huduma hii naomba tuwasiliane. Nawasilisha.
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,042 Reaction score 17,320 Oct 29, 2024 #2 Unatafuta mdada au unatafuta simu? Njoo nikuuzie Samsung a04s 128gb ram 4gb bado mpya nimeitumia miezi 3!
Unatafuta mdada au unatafuta simu? Njoo nikuuzie Samsung a04s 128gb ram 4gb bado mpya nimeitumia miezi 3!
Achimwene2014 Senior Member Joined Jul 15, 2017 Posts 119 Reaction score 124 Oct 29, 2024 Thread starter #3 Morning_star said: Unatafuta mdada au unatafuta simu? Njoo nikuuzie Samsung a04s 128gb ram 4gb bado mpya nimeitumia miezi 3! Click to expand... Mkuu, mhusika anahitaji zaidi Infinix.
Morning_star said: Unatafuta mdada au unatafuta simu? Njoo nikuuzie Samsung a04s 128gb ram 4gb bado mpya nimeitumia miezi 3! Click to expand... Mkuu, mhusika anahitaji zaidi Infinix.
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 1,499 Reaction score 2,667 Oct 31, 2024 #4 Miss Natafuta unaitwa huku..