Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Wema kwenye msiba wa uncle jj alisema ingawa waliachana ila walikua wanakumbushiana na kanumba so sishangai kama domo bado anachumisha mboga
Siku hizi kuna mahacker wa kufa mtu. MiaSwali: Nani kavujisa izo picha? Au atakua nanii **** maana yeye ndio yupo kitengo cha matangazo katika Wasafi Inc.Kaka figganigga njoo useme "mia".
Acha kuongea usichokuwa na uhakika nacho
.siku nzima Penny yupo kazin anafanya kazi ya kujenga taifa.
Watz mnatiaga raha saa zingine!!!!
Siku hizi kuna mahacker wa kufa mtu. Mia
siku nzima Penny yupo kazin anafanya kazi ya kujenga taifa.
Watz mnatiaga raha saa zingine!!!!