Muvi na series zilizoandikwa vizuri

Binafsi namkubali sana Joss Whedon ni mwandishi mzuri wa script pia ni director mzuri wa muvi. Kama ni mpenzi wa muvi za marvel utakubali kwamba Phase 2 na phase 3 ndio ilikua ina muvi nzuri sana zilizofanya vizur kimauzo. Yeye ndio alikua Kama supervisor wa muvi zote za hizo phase 3 n 2.
Muvi ya Avangers age of ultron ni moja kati ya muvi bomba nazopenda hasa kutokana na jinsi zilivyoandikwa.
  • Humo utainjoi Sauti na uigizaji bomba wa James Spader aliyeigiza kama Ultron.
  • Dialogues zake zipo poa hasa za Ultro
  • Fighting scene ziko poa.. huwezi choka kuitazama kama unapenda Sci-fi muvi
 


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muvi ninayoikumbuka tulikuwa hatuioni bali tunaisikiliza redioni kila Ijumaa, ilikuwa "Mkataa pema Pabaya panamwita". Basi hiyo tu.
 
I couldn't agree more..Series za Tyler Perry zimenishinda
 
Accent yao sasa..Halafu nimegundua most English series hawatumii matusi sana kama Americans
 
Hivi murder mystery waandishi nao ni waingereza? Nilipenda conversation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…