Umeona tamasha la filamu la zanzibar lililoisha last week, waigizaji, madirector na watunzi wetu wote wametoka kapa, tumewaambia kila siku weather you are the great Camroon au the greatest Sylverster stallone kuunda movie ni mkusanyiko wa vipaji. Shida inakuja movie zetu unakuta aliyeandika mchezo ni huyo huyo, anakuja kuwa screen writer yeye mwenyewe, alafu ana act yeye mwenyewe, na director yeye mwenyewe, wapi na wapi bwana, Hakuna hata mtu aliye edit wala kuona kazi yako kabla haijaingia dukani. Mbona hata shule assignment zetu huwa tunaomba watu watusomee wahakiki kama nilichotaka kumaanisha ndicho wanachokiona, na kama kazi ni interresting??
Shida ni kuwa wasomi wamekimbia kwenye hii sector, naamini siku wasomi watakapoingia kwenye hii sector kama wenzetu wa Afrika kusini walivyofanya kutakuw ana mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu nchini. Bahati mbaya sana Bongowood wanawaiga sana waNigeria, lakini nadhani Ningeria sio mfano mzuri wa movie ingawa ni kweli wanauza Tanzania na afrika, Lakini wameshindwa kukamata soko kwenye maduka ya ulaya na Amerika, Ukitaka kuiga nadhani watanzania wabadirishe macho yao, waelekeze South Africa, Hawa jamaa wameattract waigizaji mpaka wakubw akama Washngton Denzel, Whoop Goldberg (sp), Morgan Freeman, na wengine wengi,.
Nimeandika mara Nyingi kuwa uchoyo wao akina kanumba watabaki kuwa the great wa hapa hapa, wawahusishe watu wengine.