Yaani hawa ndugu zetu na hiki kiingereza, sijui nani aliwaambia English makes their work sound great!
Hapo si bora wangeandika "Tayari ipo madukani' kuliko huo upupu!!!!!
Unalalamika nini? Hiyo title ya "Young Billionaire" au maneno "inapatikana madukani kote" ambayo hayana uhusiano na kiingereza?
Kwani ukitumia kiingereza ama kiswahili au kugha yoyote kuna tatizo gani?Kikubwa cha kuangalia ni ujumbe uliomo ndani si kwenye kava;DONT JUDGE THE BOOK BY IT,S COVER.
Kwani ukitumia kiingereza ama kiswahili au kugha yoyote kuna tatizo gani?Kikubwa cha kuangalia ni ujumbe uliomo ndani si kwenye kava;DONT JUDGE THE BOOK BY IT,S COVER.
Yaani hawa ndugu zetu na hiki kiingereza, sijui nani aliwaambia English makes their work sound great!
Hapo si bora wangeandika "Tayari ipo madukani' kuliko huo upupu!!!!
Safari bado ndefu for self realization and self esteem for most of the bongo celebrities!
If the underlined word would have mean " on " ilikuwa poaaa, according to how you think the ad indicates.Mkuu ninachoelewa mimi ni kuwa sasa ipo kwenye stoo. Sidhani kama alikuwa na maana dukani, ukiangalia hata neno lenyewe it looks like it has been stored.
Nyambala