Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Hiki chuo mkuu mi mwenyewe nimejalibu sana kuserch web yao lakini sikufanikiwa kuipata.ila mwaka huu ndo najiandaa kutuma maombi katika hicho chuo niakagonge clinical medicine mungu akipenda! ila nasikia ni chuo kizuri sana maana ni chuo harafu wanahospitali kubwa ya wilaya humohumo wanafunzi wapo free kuingia clinical area!Natanguliza salamu kwanza! jamani kwa anaye jua chuo cha muvumi clinical science kilichopo dodoma naomba mnisaidie au mnitupie webu yao.
Kipo mvumi wilaya ya chamwino kuhusu web ntakutumia ngoja nikutafutie km vp ntafute pm
Kipo mvumi wilaya ya chamwino kuhusu web ntakutumia ngoja nikutafutie km vp ntafute pm