machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Tunaweka kwenye kundi la matunda au vyakula!?Muwa ni majani ambao upo kwenye Poaceae family ni jamii moja na haya mazao wheat, rice, oat, maize (corn), sorghum, and barley kama sikosei nliwah soma wanasema jamii yake ipo species takriban 12000.
Sio chakula wanasemaga ni perennial grass sasa kama perennial grass ni chakula sawa ila sio tunda kabisaaaaTunaweka kwenye kundi la matunda au vyakula!?
Konda msaada hapo kituo cha mbeleMuwa ni Fimbo.
Mwanzi na muwa na mtete mi ndugu?Muwa ni majani ambao upo kwenye Poaceae family ni jamii moja na haya mazao wheat, rice, oat, maize (corn), sorghum, and barley kama sikosei nliwah soma wanasema jamii yake ipo species takriban 12000.
Inaezekana kabisa mkuu sababu ziko aina karibia 21000 za hiyo mimea kama sikosei sababu muwa ni jamii ya mimea mbayo ukiikata inaota tena kwa vimelea kama vipo alafu naona kama mianzi na matete ndio hivyo hivyoβ¦.Mwanzi na muwa na mtete mi ndugu?
I hope sasa akili itakuwa imekaa sawa babeπππMuwa ni FIMBO YA MUSSA yenye sukari.
πππ
Nyasi.Habari zenu wakuu?
Kuna hili swali Huwa najiulizaga muda mrefu sipatii jibu pengine hapa naweza pata ufahamu!
Nilipenda kujua muwa ni nini he ni tunda, kinywaji, mboga, nyasi au nini?
Asanteni
Kaabisa.. Niko fresh kama cucumber.I hope sasa akili itakuwa imekaa sawa babeπππ
Afadhali maana daaahππππKaabisa.. Niko fresh kama cucumber.
Ila sio kwamba ndio nanihii, aahh bado, yaani we miezi yoote hiyo kwa siku moja!? Haviwiani, hapa atleast wiki hivi. ππ€£ππ€£π€£Afadhali maana daaahππππ
Khaaaaah!!Ila sio kwamba ndio nanihii, aahh bado, yaani we miezi yoote hiyo kwa siku moja!? Haviwiani, hapa atleast wiki hivi. ππ€£ππ€£π€£
Habari ndio hiyo, we ruka ruka tu, muda wako utafika. πKhaaaaah!!
πππππ
Muwa ni zao la kibiashara lililopo katika kundi la Mianzi yaani Poaceae family,unachotaka kujua muwa kimatumizi tunaliweka wapi nadhani, kwanza muwa ni zao la muda mrefu aka Perennial crop na linatumika kama ingredient au kinywaji,yaani linakuwa na matumizi mengi mengi.Habari zenu wakuu?
Kuna hili swali Huwa najiulizaga muda mrefu sipatii jibu pengine hapa naweza pata ufahamu!
Nilipenda kujua muwa ni nini he ni tunda, kinywaji, mboga, nyasi au nini?
Asanteni