Muwasho kwenye uume,

Sikasyakamo

Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
36
Reaction score
9
Habari, nimepatwa na tatizo nawashwa uume kwa wiki nne sasa na nimeenda pharmacy kupima anasema sina tatizo lolote, chanzo ni kuwa huwa naishi mbali na mke siku alikuja kunitembelea nilikaa nae siku mbili baada ya sex sehemu uume ulipolalia Kwe paja baada ya kumaliza mchezo Ndio palipoanza kuwasha baada ya siku mbili, pakaacha na sasa uume unawasha kama mzio flani hivi. Nini tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko pharmacy wana kipimo gani? Nenda hospitali umuelleze daktari, mmoja wenu hakuwa muaminifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…