S sodmg Member Joined Apr 30, 2013 Posts 37 Reaction score 9 May 10, 2013 #1 hili tatizo limeanza baada ya kunyoa nywele ktk sehemu za siri!nilitumia gillate mpya,but napata muwasho sana mpaka nakosa raha!nashindwa kuelewa hili tatizo limetokana na nini? Naomba ushauri nini cha kufanya kuzuia hii shida!
hili tatizo limeanza baada ya kunyoa nywele ktk sehemu za siri!nilitumia gillate mpya,but napata muwasho sana mpaka nakosa raha!nashindwa kuelewa hili tatizo limetokana na nini? Naomba ushauri nini cha kufanya kuzuia hii shida!