muwasho sehemu za uzazi!

quverisa

New Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
1
Reaction score
0
naombeni msaada bha ndugu nasumbuliwa na tatizo kuwashwa sehemu za maumbile ya kijinsia. nimetumia dawa aina mbali mbali na hata kufika kutokuvaa nguo za ndani
lakini sipati suruhu, rafiki wa karibu yangu anaye nifahaamu vizuri ana dai labda ni kutoshiriki tendo la ngono cku nyingi lakini si dhani kama nin sababu! na ombeni msaada bha ndugu.

:help:
 
Mh! Pole, ila tendo la ndoa na muwasho wapi na wapi? Nenda hospitali achana na mambo ya kuambiwa.
 
may b una fangasi au infection ktk sehemu hizo. Na hilo tendo la ndoa unaloshauriwa pengine ndo chanzo . Pole, waone wataalam rafiki kama hali haijawa tete!
 
Watu wengine huwa nawashangaa. Badala ya kuwahi hospitali wanakuja hapa.
 
Nenda hosptal ndio jambo la muhmu.
 
tena sio hospitali za uswaz bali za ukweli uonane na dokta ambaye ni bingwa au mzoefu. Usije ufanya ugonjwa kua sugu uanze kutafuta mchawi ndugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…