muwasho ukeni....

majogajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
317
Reaction score
44
wana JF tangu ni duu na mpenzi wangu analalamika nasikia muwasho ukeni, hata jana nimeduu nae lakini bado analalamika muwasho na anadai sometimes unaongezeka na sometimes unapungua. huu ni yaweza ikawa ni ugonjwa gani na tiba yake nini? nisaidieni wana jamvi wenzangu.
 
kapimeni gono na magonjwa ya zinaa fasta..
 
Mkuu pole . Muwasho sehemu za ukeni ni dalili ya magonjwa mengi sana. Kutokana na maelezo yako posibility 1. Tricomanial vaginitis kama atakua anatoa na maji ya njano ukeni 2.vaginal candidiasis inayosababishwa na fungus aina ya yeast 3.chemical irritant inasabishwa na sabuni, toilet paper, perfume, etc 4. Vaginitis inasabishwa na bacteria 5.herpes virus (std) 6. Gonoccoccal vaginitis(std) 7 . Vagina dryness ili kusema ni Dawa gani mpaka akapime hospital kujua ni nini? Ili kupunguza miwasho azingatie yafuatayo 1. Usafi mwambie afue nguo zake za ndani kila siku na azipitishe kwenye pasi na pia atumie dettol kufua 2. Nguo zake za ndani ziwe ni cotton na si nylon 3. Asitumie chakula chenye sukari nyingi kuzuia mambukizi zaidi 4.msifanye sex mpaka ujue anaumwa nini 5. Asitumie toilet paper yenye rangi ,sabuni ukeni, perfume ukeni 6. Kama ni mnene sana apunguze uzito 7. Asafishe k baada ya kujisaidia kwa maji 8. Asijipake gel or cream drug bila maelekezo kwa dactari 9. Akapime vipimo vya vaginal test kujua ni infection au STD 10. Asitumie antbiotic bila kuchukua vipimo na ukajua tatizo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…