muwasho ukeni....

majogajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
317
Reaction score
44
wana JF tangu ni duu na mpenzi wangu analalamika anasikia muwasho ukeni, hata jana nimeduu nae lakini bado analalamika muwasho na anadai sometimes unaongezeka na sometimes unapungua. huu waweza ukawa ni ugonjwa gani na tiba yake nini? nisaidieni wana jamvi wenzangu.
 
je muasho pekee bila maumivu, akikojoa mkojo hauumi? Tumbo kwa chini linamuuma? Anatokwa uchafu na je wa rangi na muonekano upi?

Kwa kifupi hayo maswali yanahitaji majibu ili kuweza kujua ana tatizo gani

But by far vaginal candidiasis but fangas ukeni is more common common among women. So amuone daktari kwa vipimo na matibabu

Pole kwa maswahiba
 
ok ntamuuliza zen ntakupa feedback.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…