Muwe mnaacha dharau mabinti

Unatumiwa nauli unatoka Dom mpka dar afu unakuja upo period afu husem kama upo period
Kwann usisubir period iishe ndyo uombe nauli uje
Tukila tigo mnaanza kutulaumu
...Huston, We have a Problem!...
 
Unatumiwa nauli unatoka Dom mpka dar afu unakuja upo period afu husem kama upo period
Kwann usisubir period iishe ndyo uombe nauli uje
Tukila tigo mnaanza kutulaumu
Komaa naye mpaka period iishe ila atakutoboa mfuko[emoji1787]
 
Siku hizi wanatabia ya kuvaa Pedi Kis*nge sana, kuna Demu niliomba tuonane ooh njoo unifate tupo njian akasema ujue naumwa moyoni nikasema acha uboya mafuta yangu utalipa.. tumefika getho bado akaludia kauli Ile naumwa.. nikamwambia "pole Sana via nguo basi" akagoma goma Mwisho kavua eeh kuja kushika pichu Mtoto mkavu Hana ata period nilimind Sana

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Hapo hamna dharau hata, nikajua ametuma nauli imeliwa.

Huyo dada itakuwa P imemuanza njiani, ingeanza before safari nauli ingeliwa [emoji1787][emoji1787]
Inauma sana hasa upewe taarifa ya kuwa safari imeahirishwa na wakati ulijiandaa kiroho na kimwili pia[emoji3]

Hujambo D
 
Unatumiwa nauli unatoka Dom mpka dar afu unakuja upo period afu husem kama upo period
Kwann usisubir period iishe ndyo uombe nauli uje
Tukila tigo mnaanza kutulaumu

Hivi kumbe swala la kutuma nauli huwa ni kweli!?,au ni hadithi ya kusadikika?,serious unadate na mtu hata nauli tu hana [emoji276]
 
Mmmmmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…