Hatari sana hii! Serikali imeshatolea tamko la katazo.Hahaha
Kuna vidonge vya kumeza period inakata unajilia vitu vyako swaaaafi kabisa
27,000/- Shabiby Bus.
Hata wewe!!?kikubwa kaja hajala nauli.... mengine jiongeze
Mie nawapigaga hivyo hivyo na damu zao tena wengine huenjoy sana show akiwa anatoka damuUnakuta ni wale period inakaa siku 7+ na amekuja yupo siku ya kwanza
Ni zaidi ya machungu
Dada wa watu hataki dhambi ya kula nauli!Sasa dharau ziko wapi hapo, labda imeanza wakati yupo njian[emoji2]
Nimependa rugha uliyoitumia japo comment yako inanuka mavi kwa mbaali[emoji1787][emoji1787]Wengine wanatumia mbinu hiyo ili kupitisha wageni mlango wa uani.
Kwa vile wanajua vijana wengi siku hizi wamevulugwa kwa hiyo mpango wao utafaulu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Evelyn unantisha ajiongeze? Howkikubwa kaja hajala nauli.... mengine jiongeze
Mambo ya hormones, stress muda mwingine zenyewe tu… inaweza kuwahi au kudelay na tarehe husika wewe unayoitegemea.No kuna mwingine hata hajasafiri ghafla tu inaanza kabla muda
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
hata mimiHata wewe!!?
ajiongeze kivyovyote vileEvelyn unantisha ajiongeze? How
[emoji23][emoji23],Hapo mtu amepigwa na kitu kizito kichwani.Unatumiwa nauli unatoka Dom mpka dar afu unakuja upo period afu husem kama upo period
Kwann usisubir period iishe ndyo uombe nauli uje
Tukila tigo mnaanza kutulaumu
Ni mwema sanaDada wa watu hataki dhambi ya kula nauli!
Umekutana na simba wanacheza hauelewi hadi kongoro unakula hahaahHuyu sio baharia sie wengine tunakulaga na mchuzi hivyohivyo tushasema kikubwa uhai!