Unatumiwa nauli unatoka Dom mpka dar afu unakuja upo period afu husem kama upo period
Kwann usisubir period iishe ndyo uombe nauli uje
Tukila tigo mnaanza kutulaumu
Mkuu usijisumbue, vile kakuambia yuko P. mpe 30,000 tu mwambie arudi dom. Utaona atakavobabaika! Utanishukuru.Unatumiwa nauli unatoka Dom mpka dar afu unakuja upo period afu husem kama upo period
Kwann usisubir period iishe ndyo uombe nauli uje
Tukila tigo mnaanza kutulaumu
Au t -shert nyekundu
Wewe cheka tuu...๐๐๐๐๐
Tuliaaa ๐คฃWewe cheka tuu...
Hivu unadhani tunakuaga hatuna nauli, wewe si umeniita gharamia basi.Hivi kumbe swala la kutuma nauli huwa ni kweli!?,au ni hadithi ya kusadikika?,serious unadate na mtu hata nauli tu hana [emoji276]
Anapokuita si kwa ajili yenu wote?Hivu unadhani tunakuaga hatuna nauli, wewe si umeniita gharamia basi.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Sasa dharau ziko wapi hapo, labda imeanza wakati yupo njian๐
Yaani, watu wengine hawana maana kabisaIwonder
As if mtu
Kuingia p anajipangia vile?!!!๐ค
kaaa be!,inamaana kalenda yake haijui๏ผ.Sasa dharau ziko wapi hapo, labda imeanza wakati yupo njian[emoji2]
Sasa kwani tumekuwa wapenzi hizo nyege nakuwaga nazo mie mwanaume tuu? Mbona kwa mtindo huu imekaa kama kimalaya malayaHivu unadhani tunakuaga hatuna nauli, wewe si umeniita gharamia basi.
Nitajie nauli yako basi mrembo nikutumie uje nibusu miguu hiyoNikiwa nayo nitakuja mwnywe as long as maraha tunapata wote
Ila kwa mara ya kwanza lazma yani ni LAZMA atoe yeyeโฆ
Wewe umeniita tuma nauli, makutano mengine nami nitatoa. Shida iko wapi?Sasa kwani tumekuwa wapenzi hizo nyege nakuwaga nazo mie mwanaume tuu? Mbona kwa mtindo huu imekaa kama kimalaya malaya