Muwe mnatusalimia Basi!!!!!!Hata kama hatujapendeza

Muwe mnatusalimia Basi!!!!!!Hata kama hatujapendeza

UPOPO

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
3,563
Reaction score
5,687
Jamani wengine hata tukipost kitu huku hakuna wachangiaji hata salamu jamani!
 
Jamani wengine hata tukipost kitu huku hakuna wachangiaji hata salamu jamani!

Mbona sijawahi kuona post yako hata moja? Tokea nimjiung JF leo ndio nimekuona. By naomba niwe wa kwanza kukusalimu. Habari yako? Mzima wewe?
 
Mbona sijawahi kuona post yako hata moja? Tokea nimjiung JF leo ndio nimekuona. By naomba niwe wa kwanza kukusalimu. Habari yako? Mzima wewe?
Hata mimi ndio kumuona leo, sijawahi muona.
na anaonekana ana muda mrefu jamvini.
Na wewe mwenyewe mzima? vipi masomo?
 
Unalalamika kwanini huitwi mvuvi na baharini/ziwani hutaki kufika ?
Mwaga mipost, changia za ments uone reaction!
 
weka posts zenye mashiko hakika hutakosa wachangiaji!
 
Jina lako 2 limeniacha hoi,mambo vipi u-popo
 
Multiples @ work!
Ile nyingine iko wapi? Bunsen burnered? Pole. I feel you, kukuruka sasa ili tukutambue lol.
 
Hata mimi ndio kumuona leo, sijawahi muona.
na anaonekana ana muda mrefu jamvini.
Na wewe mwenyewe mzima? vipi masomo?

Mimmi mzima nilishamaliza kusoma siku nyingi
Miaka ya karibuni mpaka PHD
 
Multiples @ work!
Ile nyingine iko wapi? Bunsen burnered? Pole. I feel you, kukuruka sasa ili tukutambue lol.

Asante mwaya Kongosho,huwa kwetu tunatumia koroboi
Ila sasa niko na Tanesco baada ya kupata PHD
 
Back
Top Bottom