Muwekeza/ muendeshaji au Mnunuzi wa guest house anahitaji Dar

Muwekeza/ muendeshaji au Mnunuzi wa guest house anahitaji Dar

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Tangazo hili limekaa Kwa option zote mnunuzi au muendeshaji

Guest house ipo Kata ya Minazi mirefu Kiwalani, wilaya ya Ilala Jiji ipo katika hali nzuri kabisa ina vyumba 10 self, maji ya Dawasa na ya visima virefu connected, eneo ukubwa ni square meter 400.

Kwa mnunuzi offer ni million 60, document ni Leseni ya makazi na urasimishaji wa Tittle deed upo.

Kwa serious buyer tuwasiliane inbox twende site Picha zinadanganya.

Nyumba haina mgogoro wowote wala mbambambaa.
Karibuni mwenye swali nitakujibu.
 
Guest ina fursa nyingi sana.
Mimi ningeifanya danguro la kisasa.
 
Tangazo hili limekaa Kwa option zote mnunuzi au muendeshaji

Guest house ipo Kata ya Minazi mirefu Kiwalani, ipo katika hali nzuri kabisa ina vyumba 10 self, maji ya Dawasa na ya visima virefu connected, eneo ukubwa ni square meter 400.

Kwa mnunuzi offer ni million 60, document ni Leseni ya makazi na urasimishaji wa Tittle deed upo.

Kwa serious buyer tuwasiliane inbox twende site Picha zinadanganya.

Nyumba haina mgogoro wowote wala mbambambaa.
Karibuni mwenye swali nitakujibu.
Kwa anayetaka kuendesha kodi sh ngapi?
 
Bado milango iko wazi hasa Kwa wenye option ya kununuwa ni first priority kwangu, nataka kuingia kwenye uwekezaji mwingine mkubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom