Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nina plan nyingine mbadala, kwenye maisha tunakwenda tunabadilika.Guest ina fursa nyingi sana.
Mimi ningeifanya danguro la kisasa.
Kwa anayetaka kuendesha kodi sh ngapi?Tangazo hili limekaa Kwa option zote mnunuzi au muendeshaji
Guest house ipo Kata ya Minazi mirefu Kiwalani, ipo katika hali nzuri kabisa ina vyumba 10 self, maji ya Dawasa na ya visima virefu connected, eneo ukubwa ni square meter 400.
Kwa mnunuzi offer ni million 60, document ni Leseni ya makazi na urasimishaji wa Tittle deed upo.
Kwa serious buyer tuwasiliane inbox twende site Picha zinadanganya.
Nyumba haina mgogoro wowote wala mbambambaa.
Karibuni mwenye swali nitakujibu.
Kwa Mwezi ukiweka One M. Njoo Pm1.5 M
Win win solution.
Nakuja PM mkuu.. Naitaji tuongee viziri.1.5 M
Win win solution.
Wewe upo interested kununuwa au kuendesha?Weka picha yake mkuu