James Kasonda
Member
- Apr 2, 2012
- 84
- 49
Aibu gani hii inayotokea katika nchi hii? Wawekezaji wanakuja kututapeli nyumbani kwetu kabisa? Hapo ndipo akili za watu zinapowaza na kushindwa kupata jibu. Ukifikiri kidogo tu utajua kwamba huenda wawekezaji wa aina hii ndio waliojaa Tanzania. Jambo hili tumelisikia zaidi ya mara moja. Sasa naamini atakayetuletea maisha bora si mwanadamu yeyote, kweli Mungu atusaidie.