si bora wale wa jana umeme kidogo, naomba serikali ifanye ukaguzi wa kushutukiza mara kwa mara hasa kwenye viwanda vya wahindi hawa watu wabaya sana na ndugu zao wachina, nadhani hatuhitaji wawekezaji ila tunahitaji wawezeshaji wa wananchi ili tufanye wenyewe