Muwekezaji /investor/business partner anahitajika

Edson Jobs

Member
Joined
Nov 20, 2016
Posts
25
Reaction score
55
Habarini wandugu mimi na rafikiyangu wote ni watu wa information technology I.T tuna lengo lakuanzisha mobile application itakayo wawezesha watumiaji wa simu kutuma, kupokea na kutoa fedha bira kujali line za simu zao kama tofauti ama za kampuni moja.
hapo baadae tuta boresha zaidi ili kuwawezesha watumiaji kununua vitu mbali mbali kama luku, vocha kulipia ving’amuzi nk, tumeshaanza development na tupo pazuri ,changamoto tuliokutananayo ni vibali kutoka mamlaka husika za serikali hivyo tunahitaji muwekezaji / business partner atakae tuwezesha kukidhi vigezo vya selikali na tukapata vibali vya kuanza bussness.

ni big project yenye big challenges lakini tukifanikisha itakua na big profit pia.

Kama kuna yoyote yuko interested tafadhali nitafute kwa 0676333359

e-wallet - Android Apps on Google Play
 
Wale ndo kikwazo kikubwa!!.....Hawapatani na inventions!.....ingekuwa ni nchi inayojielewa kama marekani hawa jamaa baada ya mwaka mmoja wangekuwa mamilionea!
Shukrani mkuu, vipi una experience yoyote na Tcra..?
 
Good idea...

Ila idea za namna hii zishakua nyingi...huyu ni mtu wa 7 kumsikia akiongea kitu kama hichi..kuna wale wengine wanajiita mobistock ambao tayari wako on business.

This has no difference na mtu anayetaka kuanzisha another facebook, whatsapp, viber et al let alone duniani huko wako kibao ( sikukatishi tamaa, ila we endelea kupigania unacho kiamini)

Its a hell of a battle field out there bruv.

Kuna watu wanatengeneza apps we mwenyewe utadata na still hazitoboi. We endelea kupigana.
 
Nakuelewa mkuu, but sometimes nahisi tunajibana sana kutaka kuleta something completely new wakati vilivyopo bado sio perfect sana, i still believe the room is their...,
Ilipokuja Facebook ckutegemea kama tweeter ingefanikiwa but ikaja na whatsapp, instagram and snapchart na zote zinafanikiwa wakati basic function ni ilele.

Kuna msemo unasema " in horse racing the one who win by nose is ten times richer than the second one"
Some times we need to win by nose...

Mtazamo wangu.
 
safi sana mdau zidisha harakati mpaka kieleweke
 
Habarini wandugu mimi na rafikiyangu wote ni watu wa information technology I.T tuna lengo lakuanzisha mobile application itakayo wawezesha watumiaji wa simu kutuma, kupokea na kutoa fedha bira kujali line za simu zao kama tofauti ama za kampuni moja.
hapo baadae tuta boresha zaidi ili kuwawezesha watumiaji kununua vitu mbali mbali kama luku, vocha kulipia ving’amuzi nk, tumeshaanza development na tupo pazuri ,changamoto tuliokutananayo ni vibali kutoka mamlaka husika za serikali hivyo tunahitaji muwekezaji / business partner atakae tuwezesha kukidhi vigezo vya selikali na tukapata vibali vya kuanza bussness.

ni big project yenye big challenges lakini tukifanikisha itakua na big profit pia.

Kama kuna yoyote yuko interested tafadhali nitafute kwa 0676333359

e-wallet - Android Apps on Google Play
nimeona huko na wazo zuri sana Mungu akutangulie katika safari yako naamini ukikutana na mtu muelewa mtafanya kitu kizuri sana keep it up brother
 
Nakuelewa mkuu, but sometimes nahisi tunajibana sana kutaka kuleta something completely new wakati vilivyopo bado sio perfect sana, i still believe the room is their...,
Ilipokuja Facebook ckutegemea kama tweeter ingefanikiwa but ikaja na whatsapp, instagram and snapchart na zote zinafanikiwa wakati basic function ni ilele.

Kuna msemo unasema " in horse racing the one who win by nose is ten times richer than the second one"
Some times we need to win by nose...

Mtazamo wangu.
Nina mtaji Wa sh,50,000 je ! Nitafanya Biashara gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wandugu mimi na rafikiyangu wote ni watu wa information technology I.T tuna lengo lakuanzisha mobile application itakayo wawezesha watumiaji wa simu kutuma, kupokea na kutoa fedha bira kujali line za simu zao kama tofauti ama za kampuni moja.
hapo baadae tuta boresha zaidi ili kuwawezesha watumiaji kununua vitu mbali mbali kama luku, vocha kulipia ving’amuzi nk, tumeshaanza development na tupo pazuri ,changamoto tuliokutananayo ni vibali kutoka mamlaka husika za serikali hivyo tunahitaji muwekezaji / business partner atakae tuwezesha kukidhi vigezo vya selikali na tukapata vibali vya kuanza bussness.

ni big project yenye big challenges lakini tukifanikisha itakua na big profit pia.

Kama kuna yoyote yuko interested tafadhali nitafute kwa 0676333359

e-wallet - Android Apps on Google Play
Nipigie 0682871912

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom