Mimi na mwenzangu ni vijana wenye ujuzi tofauti kwenye career ya IT and telecomm! Tumekuwa tukifanya kazi zetu kwa kuokoteza okoteza hvohvo ila tumefukiri kwamba kama tukapata mtu akakubali kuwekeza kwenye vipaji vyetu tufungue kampuni na pia awe na connection kwenye baadhi ya ofisi ili kurahisisha maswala ya tenda na kazi zote kwa ujumla.
Yeye atakuwa kama CEO na sisi tutapambana kama mafundi ili kufikisha kampuni sehemu fulani.
Jina la kampuni tayari tumebuni, logo tayari tumetengeneza na emails pamoja na social media tayari hivyo bado usajiri wa kampuni na kuandaa katiba ambayo itaelezea utendaji wetu wa kazi na namna tutakavyoiendesha kampuni yetu. Kazi tunaziweza sio kwamba tunajifunza na miongoni mwa kazi ambazo tunazifanya kwa weledi mkubwa ni pamoja na:-
1. Web designs and Development
2. Graphics designs
3. LAN installations and IP phones( networking in general)
4. CCTV installations and security systems
Pia tuna baadhi ya project ambazo basically ni software tulizozibuni kwaajili ya kurahisisha baadhi ya kazi za kila siku. Tunahitaji mtu alie serious na hili hivyo kwa alie tayari naomba anicheki kwa namba 0620113688.