Muwekezaji/mshirika anahitajika

Muwekezaji/mshirika anahitajika

HELA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Posts
200
Reaction score
192
Salamu wakuu,

Muwekezaji au mshirika anahitajika kwenye biashara ya televisheni mtandaoni kwenye jukwaa la YouTube.
Kituo kipo tayari chenye watazamaji zaidi ya laki moja na nusu waliojiandikisha.
Kinachohitajika
1. Uzalishaji wa maudhui -Vifaa na nguvu kazi
2. Leseni ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania

Nipo Dar, kama unaona aweza kuwekeza au kushiriki kwenye biashara hii tuwasiliane PM.

Tuendelee kujijinga dhidi ya virusi vya Corona,

Asanteni

Update:
Mimi ndiyo mmiliki wa kituo yani channel yenye 'subscribers' 150,000+
Na nimuaandaaji maudhui na muendeshaji wa kituo
 
Back
Top Bottom