Wadau wa JF kwanini mnakuwa so negative huyu bwana kaja na wazo lake dhamira iwe kujenga sio kubeza kubomoa kudhihaki huo sio usitaarabu. Toa mawazo yako, toa hoja zako kwa nia ya kutaka kutafuta ukweli. Mtoa mada anasema mifuko sio yote ni ya category Fulani ndio imekatazwa hakuna mtu aliongezea hapo au kujadili mnaleta dhihaka tu.....Hebu tubadilike tusiwe nchi ya wapayukaji katika kila Nyanja. Watanzania kupayuka payuka, sikiliza jambo tafakari fikiria kama unalijua vizuri kama hujui au huna hakika kaa kimya au jaribu kulifanyia utafiti then ongea kama umepata information lakini sio unakuwa wa haraka kupayuka payuka