Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
DuhHatuwezi kumjua kila mtu....mm mwenyewe kuna watu kibao nawajua wakali kuliko Chriss Brown...mwambie mwanao akaze na awekeze pesa hakuna mziki rahisi maana hii ni biashara
Unachokoza team Tembo?Why ni zaidi ya diamond platnumz lakn si zaidi ya kiba, belle, ben Paul au rich mavoko?
mwanae kadumaa badala ampe ushauri wa maana anampa kichwa
nazani akipata mshauri abadili mziki wake afanye kama huu mziki wa vijana wenzak atakimbiza sana huyu bro ni level za marehem papa wembaWhy ni zaidi ya diamond platnumz lakn si zaidi ya kiba, belle, ben Paul au rich mavoko?
Umeniwahi mkuu...Why ni zaidi ya diamond platnumz lakn si zaidi ya kiba, belle, ben Paul au rich mavoko?
Sasa Ndg.Nuruelly si uweke huo wimbo tuusikilize, mbona unaleta porojo tena?Huyu ni kijana wa muda mrefu kwenye mziki lakini watanzania wengi hawamjui. Amekuwa akifanya kazi zake na band ya B-band lakini kidogo ametambulika kwenye wimbo alioshirikishwa na Kala Jeremiah "sikati tamaa".
Kwa sasa amekuja na nyimbo yake mwenye kama solo artist inaitwa tausi. Anaeweza kuiweka humu aiweke
Hapo sasa kama sio kutembelea nyota za watu,ovyooo kabisaWhy ni zaidi ya diamond platnumz lakn si zaidi ya kiba, belle, ben Paul au rich mavoko?
mkuu ingia google seach nuruelly tausi utaupata ni nyimbo nzuri sana katumia midundo ile ya zamani msondo jamaa anavoko nzur sana zaidi ya haw vijana nao wasikia kila siku wakibebw na mproduzerSasa Ndg.Nuruelly si uweke huo wimbo tuusikilize, mbona unaleta porojo tena?
Bila kumtaja Diamind unajua hautatoka, ila piga kazi ya kujipandisha juu.
Sio kutunia majina ya wengine ujulikane
me ni shabiki tu naejua mziki siku hiz msanii unavyokuja kweny show watu unaiwaimbia wanajua mziki kuliko wewe kila mtu ni msanii ila huyu kijana ni anauwezo sana namlinganisha najalibu kumbust ili watu wajue ni nani huyo nyimbo yake mpya inaitw tausiBila kumtaja Diamind unajua hautatoka, ila piga kazi ya kujipandisha juu.
Sio kutunia majina ya wengine ujulikane