Muziki anaofanya Nuruelly ni zaidi ya Diamond lakini watu hawamjui bado

Jamaa wa kitambo enzi izo video zinashutiwa n mwanachi production n empty soulz tu
 
Jamaa wa kitambo sana nakumbuka ule wimbo wke umetutoka baba
 
Uongo huu unaletwa kwenu kwa hisani kuu ya watu wanaomchukia diamond
 
Kwahiyo diamond ndio kipimo cha mziki tanzania?basi tuache kubisha kuwa diamond ndio mwanamziki bora kuliko wote yaani hao wakina ally kiba na wenzake waanze kumuamkia kila wakikutana naye au kazi zake
 
Nuruely ni mkali wa kitambo sana.. Ila cjui kwa nn alipoteza kwenye bongofleva..
Binafsi nakubali ni mkali kweli ila kiuhalisia sio sahihi kumshindanisha na wasanii wa level za kina diamond,kiba,ben pol n.k hebu jaribu kumuweka level za kina harmonize
 
Nyote mafisi tuuh mnajadili bila kuweka wimbo upuuzi huo
 
Nyimbo aliomtambulisha kashirikishwa na kala jeremia bado unamwambia ni mkali duuu
Utakuwa umeanza kusikiliza mziki miaka ya hivi karibuni.
Jamaa wa kitambo kabla ya kala na wasanii wengi waliokuwa wakiimba r&b walikuwa wakimu-refer yeye kama ndiye aliyewavutia kuimba.
Sema alifunikwa baada ya kuingia b-band akawa kimya and by the way hajawahi kuwa juu kiasi hicho.
Lakini duniani kote kuwa mkali sana haimaanishi ndio kutusua kuna watu kibao wanajua lakini wanaowafahamu wachache.
 
Mkuu Kiswahili sijui ni lugha yako ya pili, au vipi!! Anyway, kuhusu huyo Nuruelly, ikiwa alishindwa kutusua enzi zao za East Zoo (kama sikosei) ndo unatarajia atatusua sasa? Tena enzi zile hata ushindani haukuwa mkubwa kama ilivyo sasa hususani kwa wabana pua!
 
Kwani Nuruelly huyu aliyeanzia na bongo fleva (umetutoka baba....) na baadae akadai kaokoka hataki miziki ya dunia au sio yeye? maana sijajua kama karudi kwenye nyimbo hizi za dunia.
 
Yote uliyosema nayakubali kwa 100% ila I doubt hapo kwenye RED! Nuruelly ni wa kitambo sana na kama sikosei, alianza kutosikika/kupotea hata kabla ya hiyo B-Band labda kama ulitaka kumaanisha alifunikwa baada ya kuingia Banana Zoro jambo ambalo sidhani kama ndicho ulichomaanisha!
 
nimezungumzia uwezo sijazungumzia kutusua na nimesema kama atachange style yake bado ana nafasi bado
 
nimezungumzia uwezo sijazungumzia kutusua na nimesema kama atachange style yake bado ana nafasi bado
Anyway, kwanza nilipomaanisha kutusua sijamaanisha kutusua kimaisha bali kutusua kwenye game! Msingi wa hoja yangu ni kwamba, pamoja na uwezo wake huo huo lakini hata wakati wa enzi zake bado hakutusua kivile kwenye game! Ni kama alivyosema elmagnifico hapo juu kwamba, hajawahi kuwa juu kihivyo! Watu ambao tulikuwa tunamfahamu ni wale ambao ni kweli tulikuwa wafuatiliaji wa game; enzi zile kishule shule!
 
mwambie akaze na awe mjanja na mbunifu, game ngumu ila tamu ukishaingia
 
Kuna tofauti kati ya kufanya mziki na kufanya biashara ya mziki!
 
Sugu amekuwa ana m shout out Nuruelly tangu nineties.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…