Nawaomba wanaJF wanaoijua sheria inayohusu wale wafanyabiashara wanaopiga muziki kwa sauti kubwa katika makazi ya watu inasemaje!yaani kuna kibanda kimoja hapo uswahilini kwetu hatulali! Nataka niwachukulie sheria kwani nimewafuata mara kadhaa kuwaomba wasifungulie muziki kwa sauti kubwa lakini hawasikii. Tafadhali nisaidieni kwa hili