Muziki mzuri kutoka kenya! diverse kenyans!

Mkuu.
Kiswahili hukifahamu sawasawa, kubali tukufundishe.

sijahitaji masomo yoyote toka kwa mtanzania, kenya nimesoma kiswahili tangu chekechea. tabia za kuua na kuwala albino nitakaa mbali nazo na yoyote kuhusika kama watz!!!
 
Thatha kwa kingledha hicho wasipoedit thi utakuwa unawatusi uhuru na ruto?
 
sijahitaji masomo yoyote toka kwa mtanzania, kenya nimesoma kiswahili tangu chekechea. tabia za kuua na kuwala albino nitakaa mbali nazo na yoyote kuhusika kama watz!!!
Hili jinga la wapi la wapi..mbona unatoka nje mada

Povu la nini??

Kachambe hukoo ndio uje tena
 
Kenya n muziki walikuwa zaman ila sasa tumewaacha balaaa


Kama ni mzungu kuimba kiswahili hiyo sio hoja

Hv humjui.hata MZUNGU KICHAAA anateleza kiswahili kama vile mzalamo
 
Hili jinga la wapi la wapi..mbona unatoka nje mada

Povu la nini??

Kachambe hukoo ndio uje tena

omba omba wewe kaa mbali nami!!!


A Tanzanian man, his wife, and the street beggars they were arrested with on Wednesday night for collecting money in Embu town. Photo/KNA

A Tanzanian man and his wife have been arrested for allegedly placing physically challenged people on the streets of Embu town to beg for money.

Six people living with disabilities, aged between 20 and 25, and two who allegedly pushed the wheelchairs of the severely handicapped were also apprehended on Wednesday night.

Embu West OCPD Francis Sang' said the nine admitted hailing from Tanzania but added that the organiser of the ploy had their identification documents.

He said the arrests followed a tip-off from members of the public, who informed them the group stayed at a hotel in the town.
 
Akili inaonyesha ni dk2mbele..hata wa kenya wenzio nadhan wanakushangaa..

But
Kuna msemo unasema kwamba

Usibishane na mpumbavu maana anaijiona mwenye hekima
Nakuacha na upambavu wako
 
Vijitu vyenye dharau kama nyinyiii waweza huko kenya unaishi kifukara kila kuwapiga mizinga wana alafu hapa kwa kujificha nyuma ya keyboard unajiona wewe ndio wewe..

Kakazwe mbele huko , mpumbavy mkubwa ww unadhan kila mtz ni omba omba et
 
sijahitaji masomo yoyote toka kwa mtanzania, kenya nimesoma kiswahili tangu chekechea. tabia za kuua na kuwala albino nitakaa mbali nazo na yoyote kuhusika kama watz!!!
Kweli hao walimu walio kufundisha na wewe mwenyewe wote majipu tena majipu uchungu . Tena mnadhihirisha jinsi gani mna akili finyu
 
Una chekesha wewe, moja ya nguzo zetu Tanzania ni kitokuwa na ubaguzi wa rangi, jinsia, au kabila. Tumefanya hivyo kwa vitendo. Kama tatizo ni wazungu kuimba au kuongea Kiswahili mbona wapo wengi tuu na wamejifunza hapa hapa Tanzania.


Na wana sauti zuri zuri pia. Hoja sio kwamba weupe wanaweza kiswahili. Lugha ni nini isipokuwa kuelewa muundo wake, misamiati, ngeli na matamshi yake. Mimi binafsi naongea kijerumani na tena kwa ufasaha. Na siringi.
 
Wakenya ni mbwa wa wazungu ndio maana wanawageuza sidhani kama kuna mzungu anaweza kujivunia mkenya anayeimba kwa kiingereza,,,, duh kila kukicha wakenya nazidi kuwadharau washamba wa kutupwa mzungu kwenu ni mungu
 
then on Swahili ,every country has got its culture and language difference, one the originality of Swahili is not Tanzania alone . I want to caution my brothers from Tanzania to stop insinuating that they know Swahili better than kenyans .
if you look at the so called chimbuko LA kiswahili ,inasema kuwa kiswahili kilichimbuka katika pwani ya Kenya na Tanzania na ni lugha ilioundwa asilia ya Bantu ,kisipaniola kiarabu na kiureno .uwezi sema kwa mfano ati kiswahili ni lugha yenu na sio yangu kwa mfano Mimi lugha yangu ya asilia 70% ya maneno yake ni kiswahili. for instance American English and British English huwezi sema gani nzuri japo kuna utofauti wa maneno kiasi tu lakini nchi nyingi zinazungumza British English not because its good but because they colonised them .kati ya kiswahili cha Kenya na Tanzania kuna utofauti wa lahaja usitarajie maneno yafanane 100% kwa sababu kuna makabila Kenya ambayo hayapo Tanzania na vile vile Tanzania ambayo hayapo Kenya kwa hivo haiezi fanana 100%
 
Na wana sauti zuri zuri pia. Hoja sio kwamba weupe wanaweza kiswahili. Lugha ni nini isipokuwa kuelewa muundo wake, misamiati, ngeli na matamshi yake. Mimi binafsi naongea kijerumani na tena kwa ufasaha. Na siringi.
Naunga mkono hoja mkuu
 
Mbona unalialia kama mtoto!!!? Kwikwikwikwi.
 
Unasema sawa lakini, kumbuka Tanzania tuli push lugha ya kiswahili ili watu wengi waweze kuitumia na waitumie kila siku. Kenya mna tumia kiswahili lakini ni kwa watu wa aina fulani, watu wa kipato cha chini ndio watumiaji wakuu wa kiswahili Kenya kuliko wa kipato cha kati au cha juu. Watu wa kipato cha chini walikuwa hawana njia ya kuelewana kwasababu wengi wametoka makabila tofauti, na wengi walikuwa hawajui kingereza, kwa hiyo kiswahili ndio kilikuwa kiunganishi chao. Wale wa kipato cha juu wamesoma, tena wamesoma kwa kiingereza, kwao kiingereza ndio imekuwa lugha sahihi kutokana wote wameitumia chuoni kuliko kiswahili. Na kwakuwa wanasiasa wengi Kenya ni wasomi, hawaoni umuhimu wa kulazimisha kiswahili kitumike kila siku na kila mahali.

Ukija kwa upande wa Tanzania, huku tuliambiwa hata kama umesoma vipi, kokote utakapoenda utakutana na lugha ya kiswahili na lazima utakiongea maana hakuna ujanja wingine. Kwahiyo, ukichukua idadi ya watu wa Tanzania, na wote wanaongea kiswahili kila siku, utaona kwamba Tanzania ndio taifa kubwa linalotumia kiswahili kwa wingi kuliko taifa lolote duniani. Sawa na Marekani ndio taifa kubwa linalo tumia lugha ya kingereza kuliko taifa lolote duniani.
 

Swahili is at every Kenyans finger tips,our choice to use English as elites language does not imply that we can't speak Swahili but its a sign of our diversity as a country
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…