Muziki unalipa, Davido anunua private Jet yake

Status
Not open for further replies.

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Mwimbaji wa ‘Ayee' Davido wa Nigeria amethibitisha kuwa mbali na kuwa mtoto wa bilionea lakini muziki unamlipa kwa kiasi cha kumuwezesha kumiliki private Jet yake.



Kama wewe unamfollow Davido kwenye Instagram yake bila shaka utakuwa shahidi kuwa ‘Skelewu' hit maker anapiga show nyingi sana sababu post zake nyingi huwa ni kuhusu safari za show.



Weekend iliyopita alipost picha akiwa kwenye private Jet hiyo kabla ya safari ya kuelekea Togo kwenye show nyingine.
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1409043738.575388.jpg
    58.1 KB · Views: 3,999
  • ImageUploadedByJamiiForums1409043815.860405.jpg
    51.4 KB · Views: 3,783
waimbaji wa nje watanunua mpaka visima vya mafuta,wa Tz akinunua nyumba mwanamnyamala lazima atolee maelezo amepata wapi bank kukiwa na hela azitole maelezo na vithibitisho vya hali ya juu,Ufisadi tuu wa watoto wa wenzao...
 
Hivii siku hizi kuna tishet na singledi ndefu kama gauni ee ndio fasheniii
 
Kama V8 tu ilimshinda iyo private jet ataiwezea wapi? Sasa anataka kununua so what? Anamwambia nani na ili iweje? Si anunue watu tuone, private jet my foot

Tunamalizia swimming banaa naww vipiii ngoja aje maatope akuambie
 
Last edited by a moderator:
NIMESHANGAA SANA KUKUBALI UONGO KWAMBA DAVIDO KANUNUA JET
HAMKUONA PIC YA PILI KUNA LOGO YA COMFORT JET?

Kibo10
 



The fast growing Nigerian artist reviled with picture that he has just acquired a new flying toy for himself for $250 Million.

Continue to read his tweet and more pictures of the jet

www.fikayorgideon.com
 
maatope

ADIOOS[/QUOTE]

kibo 10 unamuonea bure kwenye Instagram Davido ndio kaandika my Jet, kama sifa ya uongo iende kwa Davido rafiki wa Diamond.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hii ndege ni mali ya Kampuni ya Comfort jet service ambayo wamiliki wake wanakaa Togo. Labda useme kakodi tutaelewana. hata hivyo angeinunu wasanii wetu wanavyo penda sifa angekua kashaondoa rangi na nembo ya hiyo kampuni.
Tusubiri Aweke nembo yake au afute iliyopo ndo tujue kainunua.


Mia
 
kibo 10 unamuonea bure kwenye Instagram Davido ndio kaandika my Jet, kama sifa ya uongo iende kwa Davido rafiki wa Diamond.

Wabongo hatutumii ubongo au hata kudadisi kidogo,tunasambaza umbea na kusifia hata pasipokuelewa!!!

Tunasikiliza hotuba au maongezi kusubiria sehemu ya kuchekesha tucheke!!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…